Isaiah 58:9

9 aNdipo utaita, naye Bwana atajibu,
utalia kuomba msaada,
naye atasema: Mimi hapa.

“Kama ukiiondoa nira ya udhalimu,
na kunyoosha kidole na kuzungumza maovu,
Copyright information for SwhNEN